Origin: U.S.A.
(Import costs included in the price)
It will be shipped from our warehouse between Friday, July 19 and Friday, July 26.
You will receive it anywhere in United Kingdom between 1 and 3 business days after shipment.
Kuwajali Wanao Watunza: Care for Caregivers (Swahili Translation) (in Swahili)
Harris, Dr Roy W. ; Mbukhitsa, Anthony Lusichi
Synopsis "Kuwajali Wanao Watunza: Care for Caregivers (Swahili Translation) (in Swahili)"
Ambayo mkee wake ameyapitia. Nikawaza, kuna wengine wengi wanao jail ambao wanaitaji kusikia habari hii. Niluifurahia sana nilipo pata habari na pia kitabu ca kwanza cha kujali wanao kutunza. Lilipo ansa tu kukisoma kitabu hicho, nisingeliweza kukiweka chini kitabu hici ni lazima kwa kila anaye watunza wengine, mchungaji, mwenyekiti, mhelekezi, mhudumu wqa Afya, na yeyote Yule anaye hitaji ufahamu zaidi kuhusu jinsi ya kusaidia na kuwatia moyo wanaowatunza. Asande sana ROY Watu wengi watasaidika na kutiwa moyo nna kitabu hichi. - Dr. Stan Toler alitumika kama muhudumu wa jumla kama suparitendant kanisa la NAZAREENI NA KAMA MCUNGAJI WA KULE Ohio, Florida, Tennessee, na pia oklaoma. Dr Tolaer ameviandika vitabu zaidi ya miamoja vikiuzwa zaidi ya miolioni 3 Ulimwenguni.