Millions of books in English, Spanish and other languages. Free UK delivery 

menu

0
  • argentina
  • chile
  • colombia
  • españa
  • méxico
  • perú
  • estados unidos
  • internacional
portada Mioyo Miongoni Mwetu (in Swahili)
Type
Physical Book
Language
Swahili
Pages
378
Format
Paperback
Dimensions
21.6 x 14.0 x 2.1 cm
Weight
0.48 kg.
ISBN13
9781838206307

Mioyo Miongoni Mwetu (in Swahili)

A. Happy Umwagarwa (Author) · A. Happy Umwagarwa · Paperback

Mioyo Miongoni Mwetu (in Swahili) - Umwagarwa, A. Happy

Physical Book

£ 21.74

  • Condition: New
Origin: U.S.A. (Import costs included in the price)
It will be shipped from our warehouse between Friday, July 19 and Friday, July 26.
You will receive it anywhere in United Kingdom between 1 and 3 business days after shipment.

Synopsis "Mioyo Miongoni Mwetu (in Swahili)"

Karabo amepona mauaji ya kimbari dhidi ya Watusi mwaka 1994 ambayo yaliyatwaa maisha ya baba yake na wadogo zake. Sasa ameachwa peke yake miongoni mwa mioyo iliyojeruhiwa nchini Rwanda, na hafahamu mahali alipo mama yake.Karabo alipokwenda kuishi na baba yake mkubwa, ambaye ni kanali kwenye jeshi jipya, anakutana na Shema, mhanga mwingine wa mauaji ya kimbari akiwa miongoni mwa walinzi vijana wa baba yake mkubwa. Tabasamu la Shema linamtetemesha, na Karabo anataka kuusalimisha moyo wake kwake, lakini mambo yanakuwa magumu -- Shema anafahamu sehemu tu ya hadithi yake.Mioyo Miongoni Mwetu ni simulizi ya mapenzi, chuki, na namna vinavyoingiliana. Karabo na Shema, wote wakiwa yatima wanaoomboleza, wanakulia kwenye jamii iliyochanwachanwa -- ikitekwa katikati ya ulimwengu wa walio hai na wafu, na migogoro baina ya Wahutu na Watusi.

Customers reviews

More customer reviews
  • 0% (0)
  • 0% (0)
  • 0% (0)
  • 0% (0)
  • 0% (0)

Frequently Asked Questions about the Book

All books in our catalog are Original.
The book is written in Swahili .
The binding of this edition is Paperback.

Questions and Answers about the Book

Do you have a question about the book? Login to be able to add your own question.

Opinions about Bookdelivery

More customer reviews